Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
cc: Jamal Malinzi
Ndugu wadau, mwisho ni tarehe 30/09/2014, nchi zilizokwishatuma maombi ni
"Kenya, Algeria, Ethiopia, Ghana, Mali na Zimbabwe zinawania kuandaa makala ya 2017 baada ya Libya kujiondoa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama nchini humo." Source-BBCSWAHILI-ONLINE.
Wadau mbona sijaona jina la Tanzania. Wakati walisema wataomba? bado siku 8 tu!!!!
Nawasilisha!