AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

ukawa na ccm nao wanagombana itv sasa hivi.
 

aggreagate 2-2 vipi wakati huku tuli-draw 2-2, sasa kama ni hivyo si ingekuwa 3-3 aggregate.., mambo ya ki-mbwa haya..
 
Mpaka nchi tulizo zikomboa kwa mkoloni zinatupanda kichwani...poor tz
 
Baada ya kufungwa 'kwa tabu' na timu ya msumbiji ,kesho mashujaa wetu watapokewa pale JKNIA.

Baada ya starz,kuna wale serengeti boys waliofungwa 4 bila nao watawasili kesho,huku tukisubiri wale wa jumuiya ya madola.

Tujitokeze kwa wingi kuwalaki.
 
Mbona kuna sehemu humu humu JF wanasema tumepigwa 2-1 ndani ya dk 90?
 

Hii nchi ya ajabu sana kwakweli. Yaani unaweza kufungua SS ukakutana na vi timu vidogoo vinaoneshwa. Sisi hapa ni majanga tu hata katiba tunapangiana halafu nibaki kusema najivunia kuwa mtanzania phewwwwww


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kufungwa 'kwa tabu' na timu ya msumbiji ,kesho mashujaa wetu watapokewa pale JKNIA.

Baada ya starz,kuna wale serengeti boys waliofungwa 4 bila nao watawasili kesho,huku tukisubiri wale wa jumuiya ya madola.

Tujitokeze kwa wingi kuwalaki.

This is a JOKE! Let's be serious...
 
STARS YATOLEWA: Mechi ya Msumbiji na Taifa Stars imemalizika, Stars imefungwa mabao 2-1, hivyo kutolewa kwa jumla ya 4-3. Mbwana Samatta ndiye aliifungia Stars.
 
Mwenye matokeo ya ukweli atupatie jama, Naona kila mtu na matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…