AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Refa hana tofauti na spika wetu.
 
Its Bukini VS Nigeria

Ghana wamezoea kubebwa, hata kwenye mechi na CVerde walipewa penalti isiyo na uhalali
 
pitroipa wa BFaso amefutiwa kadi yake ya pili ya njano hivyo atacheza fainali
 
Leo ndo leo bukinabee wanaweka historia kama ya Zambia!
Wapambe wa bukinabe tujumuike wote leo kuangalia hii gemu ya kihistoria
cc: BelindaJacob
 
Last edited by a moderator:
Mphamvu njoo tena hapa uwaambie kua anashinda Bukinabe, Maana utabiri wako wa nani ataingia fainali tumeukubali we mkaliiiiii
 
Last edited by a moderator:
Leo ndo leo bukinabee wanaweka historia kama ya Zambia!
Wapambe wa bukinabe tujumuike wote leo kuangalia hii gemu ya kihistoria
cc: BelindaJacob

Wera weraaa! Brukinaaa, natamani kweli ishinde na itafurahi kweli. Ila Nigeria wanaweza chukua mkuu!! Zanta, kila la kheri kwa Brukinabe.
 
Last edited by a moderator:
Underdogs lazima nao washabikiwe hata kama ni ushabiki wa sympathy.

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
Napenda Burkinafaso iwe bingwa wa Afrika 2013. Muda mwingi uwezi amini mpake uone uhalisia wa kitu. Nina maana kwamba: Kwenye mashindano kama haya ngazi za awali, tuliwahi wafunga Burkinafaso 2-1 nyumbani na 1-0 kwao. Hivyo wakiwa wao mabingwa ni ujumbe tosha kuwa na sie Tanzania tunaweza kuwa mabingwa pia.
 
Wera weraaa! Brukinaaa, natamani kweli ishinde na itafurahi kweli. Ila Nigeria wanaweza chukua mkuu!! Zanta, kila la kheri kwa Brukinabe.
weraaa Ahsante nadhani tutakua wote jukwaani leo usikimbiulie kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…