TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Mwisho wa siku si unakula faida mkuu au vipi?
Sitoweza kula hata hela ya guest naishiwa hivi hivi
Mwisho wa siku si unakula faida mkuu au vipi?
Waombe matokeo yabaki hivi hiviAngola wanaongoza goli 1 bila. Cape verde wamejifunga og...matokeo yakibaki kama hivi SA na Morocco wanaqualify
Waombe matokeo yabaki hivi hivi
Vipi matokeo hivi sasa...Goooal 2-1 moroko wanaongoza! Upande wa pili cape verde nao wamesawazisha
South wamerudisha 2 2Goooal 2-1 moroko wanaongoza! Upande wa pili cape verde nao wamesawazisha
Safii SA, Morocco bye!!...
Waarabu Amebaki tunisia tu na yeye akicheza tu byeee!
Hahaha waarabu waafrica lolbana wale waafrika siyo arabu...ha ha!!
Waarabu Amebaki tunisia tu na yeye akicheza tu byeee!