AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

FT algeria 0 - 2 togo ni baada ya kuongeza dk 13 baada ya dk 90 kuisha..
 
Dakika 13 za nyongeza? ilikuwaje hadi muda mwingi hivyo ukaongezwa ndetichia
Mkuu si unajua maandalizi ya afrika! Goli liliegemewa likapinda ndo wakaanza mchakato wa kulitengeneza uwanjani ! Kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa tuone leo kama watoto wa mandela watachomoa kitu leo!
 
Uwanja umependeza sana, watu wamejaa kuishangilia south africa
 
Jamani gemu zinaanza saa ngapi? Naingiliwa vinywaji hapa buku 3 inauma
 
Saouth wajiangalie maana moroco wankuja juu sana
 
Hivi mechi ya cape verde super spot ngapi wanonyesha?
 
Back
Top Bottom