AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Dk ya 20 just wide, anakosa gervinho hapa, tembo wanatawala mpira... bado 0-0
 
1 ya vitu nilivyo-note ni maamuzi mabovu y refarees, dk ya 56 gervinho amefunga goli mshika kibendera akaashiria kuna offside, lakini picha za marudio zinaonyesha hakukuwa na offside, bali kulikuwa na on side. Linesmen hapo kabla alionyesha ishara ya offside kwa solomon kaluo, lakini picha za marudio hazionyeshi kuwapo na offside. Kama mtakumbuka jana penalt waliyopewa zambia walibebwa, jamaa aliangushwa nje ya 18. Poor refaring! Aaaghr
 
hiiiii ndio afrika..
 
Substitution
out.gif
Salomon Kalou
in.gif
Max-Alain Gradel 81'
 
Dakika ya 32 Goal... Adebayor. Togo wanaongoza
 
Ritz usiogope kila unapokwenda nipo nyuma yako!half time hapa,togo wanaongoza kwa goli moja
 
Back
Top Bottom