Afanye nini?

Mkuu ,
mbona hapo inaonesha game is over ?
Walitatizana, wakapatanishwa haikuzaa matunda!
Wameshaachana si mchezo kwishney !
Anyauww !
 
Habari za jion,hii ni true story rafiki angu anahitaji ushauri ana rafiki ake walikuwa ni business partners kwa muda na rafiki ake huyo anaishi nje ya nchi, muda kidogo umepita rafiki ake alikua na misunderstanding na girfriend wake na huyi friend wangu alikuwa between them kusolve ikashindikana na wakaachana.


So unataka sisi tukusaidieje? Na mbona maelezo yako hayaeleweki? Embu jieleze vizuri ili tuweze kukusaidia.
 
kwa nini huku ulete makitu nusu??hujui kwenda jukwaa ingine ni gharama?...nxt tym copy n paste itakusaidia!..
 
Back
Top Bottom