mchumba wako yupo serious anaumwa na dawa yake ni kufanya sex na asipofanya sex atakufa ikifika dakika kumi na hiyo dawa imethibitishwa na madokta na ww hapo haupo apo ospital yupo best friend. je utamruhusu best friend wako afanye sex na mchumba wako au utamwacha afe
Hakuna ugonjwa hapa duniani ambao dawa yake ni kufanya sex na kama usipofanya sex utakufa...hakuna huo ugonjwa! Hiyo ni dhana ya kufikirika! Mkuu si unajua lakini its all about udaku au meshau tupo jukwaa gn?? ha ha ha ha!!!!!!!!