masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,920 Reaction score 15,166 Nov 5, 2014 #2 Anafikiria kwamakini adhabu ya kumpa yule chingazz!
H Hasadi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 258 Reaction score 52 Nov 5, 2014 #3 wa jeshi gani tanzania?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Nov 5, 2014 #4 Huyo si ni utafiti?au namfananisha? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 838 Reaction score 628 Nov 5, 2014 #5 Kazi ya "geshi yahitaji kugangamala" ndo dizani hii hujisau na kusema "boss nimeota umekufa"
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 5, 2014 Thread starter #6 Hasadi said: wa jeshi gani tanzania? Click to expand... Geshi la msingi
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Nov 5, 2014 #7 Amechokajee....
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,676 Nov 5, 2014 #8 Honey Faith said: Huyo si ni utafiti?au namfananisha? Click to expand... Hahaha kweli hujui kufananisha....yaani leo humjui mshana jr??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Huyo si ni utafiti?au namfananisha? Click to expand... Hahaha kweli hujui kufananisha....yaani leo humjui mshana jr???
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Nov 5, 2014 #9 Yupo kama yule alikuwa anafanya kazi CRDB pale azikiwe......sio huyu kweli kapigika!
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Nov 5, 2014 #10 Yeye mwenyewe yuko taabani
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Nov 5, 2014 #11 utafiti said: Hahaha kweli hujui kufananisha....yaani leo humjui mshana jr??? Click to expand... Si unajua lazima niseme kinyume ili kuogopa lawama Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Hahaha kweli hujui kufananisha....yaani leo humjui mshana jr??? Click to expand... Si unajua lazima niseme kinyume ili kuogopa lawama
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 6, 2014 Thread starter #12 Honey Faith said: Si unajua lazima niseme kinyume ili kuogopa lawama Click to expand... Honey Faith....!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Si unajua lazima niseme kinyume ili kuogopa lawama Click to expand... Honey Faith....!!!!
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 6, 2014 #13 Hapo naona ana tafakuru na kutafakari hiyo kazi kwa masilai yepi na anajiona na umri ndo una anza kumtupa mkono au atakuwa omba omba hapo baadaye
Hapo naona ana tafakuru na kutafakari hiyo kazi kwa masilai yepi na anajiona na umri ndo una anza kumtupa mkono au atakuwa omba omba hapo baadaye
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,010 Nov 6, 2014 #14 Mchana nzi usiku mbu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 6, 2014 #15 Kapitiwa na usingizi huyo. Sasa ingekuwa lindo la usiku si ndio majambazi na vibaka wanajichukulia kiulaini
Kapitiwa na usingizi huyo. Sasa ingekuwa lindo la usiku si ndio majambazi na vibaka wanajichukulia kiulaini
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 7, 2014 Thread starter #16 HARUFU said: Kapitiwa na usingizi huyo. Sasa ingekuwa lindo la usiku si ndio majambazi na vibaka wanajichukulia kiulaini Click to expand... Halafu asubuhi anasingizia kapuliziwa madawa
HARUFU said: Kapitiwa na usingizi huyo. Sasa ingekuwa lindo la usiku si ndio majambazi na vibaka wanajichukulia kiulaini Click to expand... Halafu asubuhi anasingizia kapuliziwa madawa
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Nov 7, 2014 #17 utafiti said: Hahaha kweli hujui kufananisha....yaani leo humjui mshana jr??? Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, hata mimi nilikuwa namshangaa, hiyo miwani huhitaji kuambiwa kuwa huyu ni mshana jr
utafiti said: Hahaha kweli hujui kufananisha....yaani leo humjui mshana jr??? Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, hata mimi nilikuwa namshangaa, hiyo miwani huhitaji kuambiwa kuwa huyu ni mshana jr
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,676 Nov 7, 2014 #18 WAHEED SUDAY said: Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, hata mimi nilikuwa namshangaa, hiyo miwani huhitaji kuambiwa kuwa huyu ni mshana jr Click to expand... Labda hajaona miwani
WAHEED SUDAY said: Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, hata mimi nilikuwa namshangaa, hiyo miwani huhitaji kuambiwa kuwa huyu ni mshana jr Click to expand... Labda hajaona miwani
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Nov 7, 2014 #19 hako kachupa hapo pembeni usikute kalikuwa kamejaa yale maji wanayokunywaga madreva wa dala dala halafu macho yanakuwa mekundu
hako kachupa hapo pembeni usikute kalikuwa kamejaa yale maji wanayokunywaga madreva wa dala dala halafu macho yanakuwa mekundu
N nakusaka Senior Member Joined Aug 31, 2014 Posts 124 Reaction score 50 Nov 7, 2014 #20 Siyo afande ni mgamboo,'afande ni mwanaume na raia ni demu'