Afande Sele kugombea ubunge 2015

Bunge litanoga zaidi maana A/ Sele sikuzote anaongea points so bungeni itakua hapatoshi.
 

Nashauri tuwe na mabunge ya aina mbili, bunge la jamhuri ya Muungano kama kawaida na bunge la wasanii litakalojumuisha wanamuziki, waigizaji na mabondia kwa sababu sasa naona bunge la sasa linakosa hadhi.
 
Afande Sele ni msanii aliye na mafanikio kibao,huyo babu kitumbo wa Tot Mh sana John Komba ana kitu gani?kazu yake ni kuunga mkono hoja za ccm 100% na vigeregere.bigup Afande karibu cdm umtoe huyo mhindi hapa mji kasoro bahari
 
Afande Sele ni msanii aliye na mafanikio kibao,huyo babu kitumbo wa Tot Mh sana John Komba ana kitu gani?kazu yake ni kuunga mkono hoja za ccm 100% na vigeregere.bigup Afande karibu cdm umtoe huyo mhindi hapa mji kasoro bahari

Pesa aliyo nayo komba hata SLAA hamfikii achilia mbali Afande Sele
 
Kugombea ni haki yake kisheria

Lakini anatakiwa aje na matarajio ya watanzania,pili nchi hii kwa sasa inahitaji watu ambao wna upeo na wanaweza kuchambua mikataba ya wawekezaji,kutekengeneza Dira ya Taifa ya miaka mingi ijayo,na sio watu wenye muelekeo wa SUGU ambao tumeshuhudia wakikosa hoja wanatukana ili angalau wawaandikwe na magazeti ya Kitanzania ambayo badala ya kuonyesha ufinyu wa wabunge wetu ktk uchangia wanaitoa ukurasa wa mbele kwa mbwembwe kama vile shujaa wa ahoja kama akina NJERU KASAKA ,NA MZEE WA MTEMBA ........................
 

Uwezo wako wa kufikli umeishia kuona wasanii hhawana haki ya kuwa viongozzzi? poor thinking
 
Hafai kabisa tena ni bora alivyojiwah kwenda ACT maana angetutia hatutia haibu hku chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…