Ubunge wa jimbo la Bangi labda! Kuiga iga kila kitu kunawaponza..eti kisa Sugu ni Mbunge naye anataka Ubunge..wasanii bwana! Mara kanumba anataka ubunge, mara Langa anataka ubunge, Professa Jay naye nasikia katangaza nia, ooh sijui Jay Moe naye anagombea! hawa watu bwana!

Kwahiyo unaona kuwa ni sahih tukaongeza idadi ya wavuta kitu Bungeni?usirushe mawe wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo. bangi kitu gani wewe mbona karibu nusu ya wabunge wa sasa ni wavuta bangi na watumiaji wa madawa ya kulevya?
Ni kweli Afande Sele anafaa kuwa Mbunge.
ni kweli afande sele anafaa kuwa mbunge.
Mkuu Basiasi nilikuwa najaribu kumnadi mgombea mtarajiwa pengine atakubalika.ndiba mchezo gani tena huu
loh kumbe bora nisubiri 2015 kutangaza mapema kumuiga zitoo tunaishia na kashfa za ukweli kama hizi
sijui atamuuzia nani miskoto kule bungen sugu ashaachana nazo analinda afya sikuhizi...sijui anataka kumuuzia nani majani