scholarsway
Member
- Jul 18, 2013
- 25
- 2
Kuna habari kwamba bingwa wa rhymes Afande sele amejipanga kuchukua jimbo la morogoro Mjini 2015 kwa tiketi ya Chadema
View attachment 129654
Jimbo hilo kwa sasa linakamatwa na Aziz Abood kwa tiketi ya CCM ambaye anatarajiwa kulitetea kwa mara ya pili katika uchaguzi ujao.
Habari za ndani zinadai kuwa CCM MKOA wameingiwa na hofu kubwa kwani Msanii huyo ni kipenzi cha vijana wengi mjini hapo. Wadau mnaijua hii?