Afande sele (chadema) kupambana na aziz abood (ccm) ubunge 2015 moro mjini

scholarsway

Member
Jul 18, 2013
25
0
Kuna habari kwamba bingwa wa rhymes Afande sele amejipanga kuchukua jimbo la morogoro Mjini 2015 kwa tiketi ya Chadema
AFANDE SELE.jpg View attachment 129654
Jimbo hilo kwa sasa linakamatwa na Aziz Abood kwa tiketi ya CCM ambaye anatarajiwa kulitetea kwa mara ya pili katika uchaguzi ujao.

AZIZ ONE.jpg abood1.JPG

Habari za ndani zinadai kuwa CCM MKOA wameingiwa na hofu kubwa kwani Msanii huyo ni kipenzi cha vijana wengi mjini hapo. Wadau mnaijua hii?
 

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,250
Anaweza Kurusha ngumi Bungeni kama mwenzie s****g

au kama yule mbunge wa ccm aliyefikishwa mahakamani kwa ujambazi au wale wa viti maalum wa ccm waliojisalinisha kwa kuuza unga au wale walioandikwa kwenye ripoti ya Lembeli kwa kuhusika na biashara ya vipusa au yule mwingine wa ccm wilaya ya kinondoni aliYetajwa kwy barua ya punda aiyefungwa huko CHINA. He is gonna make very good MP because he has succeed in life own his own without taking a bribe or stealing from public fund like many of ccm leaders who nothing but crooks.
 

bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
Abood ni kabila gani? UKOO GANI? ( Sio mchaga huyo? Wa mnauye, kawawa, mzindakaya, malicela, kaqume, mwinyi, malima, makamba, nk) Sisi CCM tumeelekezwa kujua makabila kwanza au ukoo wa mgombea. Au ataje kama ni kati ya wale walio zawadiwa viwanda wakavigeuza magodown ili vijana wasipate ajira.
 

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,928
2,000
Mwambie Afande Sele asome rasimu ya Katiba"je anataka ubunge wa JMT au Tanganyika
 

kisugujira

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
773
195
hawa wabunge! afande sele awe mbunge! kweli sasa hii siasa!

Kwani siasa inahitaji kwenda darasani? Kama utaweza kubwabwaja uwongo asilimia 90 na kusema ukweli asilimia 10, ukapendwa na wananchi au ukawa na uwezo wa kuwalazimisha wananchi wakupende kwa kuwahonga na kuiba kura, hata wewe unaweza kuwa mbunge!
 

gambosh1972

Senior Member
Oct 30, 2013
119
0
Labda itokee.mzee wa arachuga,msuba,ngwaya,stiki au majani akifanikiwa ubunge nina mwaga kimba njia nzima kutoka Dar hadi chalinze kwa jinsi ninavyomfahamu Abood.
 

limbongambonga

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
219
195
Masikhara mengine mabaya jamani,ni dharau ilioje kwa watu wa Morogoro yaani wachague mibange na miunga huyu jamaa si mzima Wazimu ukipanda anaweza kuvua nguo hata bungeni. Jamani bungeni ni mahala muhimu sio hata vichaa wanapelekwa pale.
 

habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
1,225
Duu CDM basi mna mambo na huyo mvuta bangi mwenye boxer ndio anataka ubunge? Hawajuwi Kasopata huyu! Yaani huyu atakuwa wa kwanza kulia maana hata kura 1000 hafikishi
 

habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
1,225
Boxer mbaya nyeusiii full chawa! Haya mambo ya kuiga haya wenzake wanavaa boxer safi na Mzuri, yeye kaokota sagula sagula pale Mtaa wa Luna anatundika!

Bhangi mbaya sana! Na hiyo tutaiprint wakati wa uchaguzi tuwasambazie wananchi wajuwe bhangi ilivyokuwa mbaya
 

Umslopagazi

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,463
2,000
Kuna habari kwamba bingwa wa rhymes Afande sele amejipanga kuchukua jimbo la morogoro Mjini 2015 kwa tiketi ya Chadema
View attachment 129652 View attachment 129654
Jimbo hilo kwa sasa linakamatwa na Aziz Abood kwa tiketi ya CCM ambaye anatarajiwa kulitetea kwa mara ya pili katika uchaguzi ujao.

View attachment 129653 View attachment 129658

Habari za ndani zinadai kuwa CCM MKOA wameingiwa na hofu kubwa kwani Msanii huyo ni kipenzi cha vijana wengi mjini hapo. Wadau mnaijua hii?

Kwa katiba ijayo hana sifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom