"Ah, huyu JK kwa tamko lake hili kuhusu studio aliyowapa THT na Ruge anaonyesha jinsi gani asivyo kiongozi makini na kwa mtazamo halisi anaonyesha ni jinsi gani hakustahili kuwa mkuu wa nchi.
Anajenga makundi ya chuki na uhasama katika kila sekta kuanzia kwenye chama chake, serikali yake na sasa kwenye sanaa na haswa mziki wetu ambao ndio amekuwa akijinadi kuusaidia kumbe katika hii awamu yake ndio mziki umepotea mwelekeo.
Sasa kama anasema studio aliwapa waliomuomba mbona mimi na watu wengine wenye misimamo tulikuwepo siku ile alipoahidi studio hatujui lolote na hatujaonyeshwa hiyo studio?"
Jamani hivi hatuwezi kuchangia bila ya kuingiza udini?Kwa nini watu wengi tunasilika ya kuto-akcnowledge failures zetu - na mara nying tunasukumia wengine. Dhambi ya Adamu na Eve inatuumiza sana. Ni nyoka ndiye kanidanganya (Eve) ; ni huyu mwanamke ndiye kanipa tunda(Adam).
Sasa JK kashindwa uongozi- anasema eti sababu yeye ni mslimu ( wakati tunda la ufisadi amekula yeye kwa roho yake nyeupe). Tubu ni njia salama sana na kuacha kutenda maovu tena
"Mzalendo kama Jakaya hadi anaondoka Ikulu hajasomesha mtoto Ulaya",nakumbuka kibao chake msanii huyu cha kumpamba JK na leo hii anakuja kulalamika baada ya kutoswa!

Kwa nini watu wengi tunasilika ya kuto-akcnowledge failures zetu - na mara nying tunasukumia wengine. Dhambi ya Adamu na Eve inatuumiza sana. Ni nyoka ndiye kanidanganya (Eve) ; ni huyu mwanamke ndiye kanipa tunda(Adam).
Sasa JK kashindwa uongozi- anasema eti sababu yeye ni mslimu ( wakati tunda la ufisadi amekula yeye kwa roho yake nyeupe). Tubu ni njia salama sana na kuacha kutenda maovu tena
sidhani ,hawa wasanii siwaamini sana wana njaa sana,kumbe siku ya ahadi ya studio na yeye SELE alikuwepo??kwa hiyo ametoswa na wenzie sio?/kama angeshirikishwa na kupewa shavu kwenye studio hiyo haya angeyaona lini????
UNAFKI