Afande sele akivua stage noma,akon je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande sele akivua stage noma,akon je?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rugas, Oct 13, 2009.

 1. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehe hii nimeona alipo vua Afande Selle watu tulimponda sana lakini nashangaa hawa jamaa wanapongezwa sijui kwa vile masupa staa? Na wasanii wetu wataiga nyie subilini kwenye Fiesta huko.
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Labda waliomponda Afande Sele waliuangalia utamaduni wa kiTanzania zaidi ambapo mtu akifanya kitendo kama alichokifanya Afande Sele mara nyingi huonekana ni 'kichaa' ama ana ulimbukeni wa kuiga tamaduni za kimagharibi ambazo watu kujiachia uchi kama walivyofanya Akon na Wyclef Jean kwao ni kitu cha kawaida tu..Na Akon japo ana asili ya Senegal,ni mmarekani maana muda mwingi wa maisha yake ameutumia akiishi Marekani kiasi cha kupewa uraia wa nchi hiyohttp://www.google.co.in/search?hl=en&source=hp&q=akon+wikipedia&meta=&aq=0&oq=Akon+wiki)...So Afande Sele bado atazidi kushangaza kwa kitendo chake alichokifanya kutokana na Utanzania wake
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  True that but still Akon amechemsha... You cant just put the thing kinamna ile, Wycleff stopped some steps shorter

  Anyway, kunya anye kuku, akinya bata uharo!!
   
 5. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  afande bange zinamdhuru
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Na Akon ni umarekani siyo?
   
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma mkuu...Pa1
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  halafu huyo afande sele hiyo afya yenyewe ya kuitangaza hivyo iko wapi??????
  hata pafyumu tu ya maana hakuna,kuvua nguo kuwapa watu harufu ya jasho tu
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tofauti ipo kwamba akina Wyclef wanaonesha dizaina box, Emporio Armani, wakati ndugu yetu afande anaonesha kabox mtumba ..Bwa ha ha ha ..
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ha ha ha................
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo kisa Akon na Wyclef wamefanya kwa hiyo ina justify Afande alicho kifanya? Siyo lazima kuiga jamani. Pia what works for some one else may not work for you. Kuna vitu mwenzio atafanya ata shangiliwa lakini ukifanya wewe unakua kituko. Ni kama nguo vile. Unaweza kuvaa kitu watu waka sema hauja pendeza lakini akavaa mwenzio nguo hiyo hiyo watu wakawa wanamsifia kapendeza. Afande do what works for you bro.
   
 12. Robweme

  Robweme Senior Member

  #12
  Oct 13, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Kuna biashara hapo wakuu", Akon na Wyc.hawakuvua bure pale walikuwa wanatangaza biashara ya nguo za ndani.Je Afande Sele alikuwa anatangaza nini nguo za ndani?.Wasanii msiige kila kitu, jamaa wamelipwa pesa nyingi kutangaza hizo nguo nyie mnaiga tu.Kwaherini.
   
 13. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa huu upuuzi uwa hawaufanyi kwao. Sana sana wataishia kuvua mashati.
   
 14. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hiyo ya afande ni boksa ama kigunia!
   
 15. D

  Darwin JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapana hakuna biashara yoyote
  wote nawaona kama mashoga.
  Mwanaume na akili zako ufanye hivyo? hata kama umezaliwa na passport ya marekani matakoni huo ni upuuzi
   
 16. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii tabia ya kuvuta bangi bila kula chakula itawatokea puani siku...
   
 17. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii ndizo imani tulizonazo kwa hawa jamaa kutoka majuu,hatuwezi kuona wamekosea!siku nyingine watakuja watupu kabisa,au waduu kwenye stage,tuseme wanatangaza ndom!hii ni km dharau kwetu!
   
Loading...