Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Ile hauhitaji kuwa mvitaji ili kumtambua mtu kuwa ni mteja.
Hakuna kusanda,hakuna kumbwanda,mbele kwa mbele makamanda,vua gamba vaa gwanda kisha kaza mkanda, wanashuka sisi tunapandaaa,,,, (Kama Bob Marley vile)
 
Haya endeleeni salama ila mumshauri huyu jamaa asije akavua nguo katikati ya kampeni ya kuomba kura wananchi halafu akina Nape wakapata point za kukibomoa chama chenu.
 
sasa ni matokeo ya zamani, kila mtu anayo historia. hongera kwa mapokezi uloyapata afande wa zamani ambaye sasa umekuwa kamanda. Mungu akusaidie ktk kutekeleza majukumu yako mapya ya uenyekiti wa kata.
 
Duhh hii kali
 
Attachments

  • 1003555_584500231605738_292890925_n.jpg
    34.6 KB · Views: 146
çcm ni sawa na mashetani tuu,wanawatia watu mashikizo/stress mpaka watu wanavua nguo alafu yanashabikia na kuwacheka,
afadhali watu pamoja na kufanywa vituko na maccm wajitolée kuleta mapinduzi kwa namna yeyote ile
NAMPONGEZA AFANDE SELE KWA HATUA YAKE HIYO,Nawapongeza pia chadema kwa kummpokea na wawapokee na wengine wengi waliotendwa na maisha
 
kweli ktk mandondocha na wewe umo, ivi nini maana ya democrasi? acha ushamba shapu, kwani umeambiwa chadema hakina viongozi safi zaidi ya mbowe na slaa? kama kweli basi Cdm ni chanzo cha wachache cha kujipatia fedha. zumbukuku
Jpilipili usizo kula zinakuashia nini mkuu. Vumilia dawa ukuingie vizuri ili upone maradhi hayo
 
Wewe ni mwafalsafa mkali. yaani umeiweka kitaalamu zaidi.
 
huyo ata akienda bagamoyo kugombea ubunge atakuwa mbunge si morogoro tu, kabeba ufalme wa rymes akiwa moro sembuse ubunge.
 
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
Wavua nguo kama sele mnajulikana tu mkuu.
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
Hapa hakuna mwana - CCM hata mmoja... Ni watu mliofuata mtu CCM na bado mnafuata mtu CDM na zaidi ya yote mmekuwa wasemaji wa watu mliojiweka nyuma yao!!!... Hapa hakuna SIASA... Ni ajenda!!... Ukaskazini ni kivuli cha kujifichia.
 
Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.

Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.

Wapiga tarabu wanao tayari mchungaji natse ni mithiri ya hao.

Wavua nguo kama sele mnajulikana tu mkuu.

View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!

Ile hauhitaji kuwa mvitaji ili kumtambua mtu kuwa ni mteja.

Haya endeleeni salama ila mumshauri huyu jamaa asije akavua nguo katikati ya kampeni ya kuomba kura wananchi halafu akina Nape wakapata point za kukibomoa chama chenu.
Hapa hakuna mwana - CCM hata mmoja... Ni watu mliofuata mtu CCM na bado mnafuata mtu CDM na zaidi ya yote mmekuwa wasemaji wa watu mliojiweka nyuma yao!!!... Hapa hakuna SIASA... Ni ajenda!!... Ukaskazini ni kivuli cha kujifichia.
 
Hapa hakuna mwana - CCM hata mmoja... Ni watu mliofuata mtu CCM na bado mnafuata mtu CDM na zaidi ya yote mmekuwa wasemaji wa watu mliojiweka nyuma yao!!!... Hapa hakuna SIASA... Ni ajenda!!... Ukaskazini ni kivuli cha kujifichia.
Ukweli ni kwamba, CCM Morogoro, wamechanganyikiwa sana. Sasa nilivyosikia hii ni mwanzo tu, yaani kuna kitu kitafanyika katika wiki mbili zijazo, ambacho hawatakisahau, ni cha amani tu.
 
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !

..."mbwa koko anayebweka ndani ya fance hamtishi mpitaji"...
 
Ndani ya mioyo ya mafisadi wa Moro, wanajua. Na sasa tunakuja kuchukua kiwanja cha manispaa cha sabasaba mlichokipora. Mnakijua cha mtema kuni, sasa mtakiona. Mmeiba kiwanja cha manispaa kwa hati bandia, mtakoma. Tunakuja wana wa kingalu.
 
Kumbe bungeni wanatunga mashairi du kazi kweli hawa ndiyo bijana wa chadema wanawaza mashairi badala ya kutunga sheria na kuleta maendeleo kwa watu.

Km kuna mtu bado anatafunwa na yule adui ujinga wa Nyerere ni wewe unayetumia id ya semiyu yetu hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…