Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,194
- 7,030
Vipi leo mtasambaza ukimwi maeneo gani katika utekelezaji wa sera yenu kama inavyofanywa na kada wenu Alhaji kapuya?Kuna tawi la Mirembe pale Ufipa viroba vimeharibu mfumo wa akili za vijana wa Chadema.Afande Sele atasaidia kuwajenga kimaadili.
View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
wanachama wa chadema mnamatatizo sana, baada ya kudili na viongoziwenu kwa matendo wanayofanya hayaendani na utaifa wetu mnadili na Kapuya? ha ha ha, kumbukeni kiongozi wenu mkubwa alikwenda DUBEI kutafuta maisha akafanikisha kununuliwa nyuma, mwingine alikwenda mombasa kutafuta maisha, hayo yote mnatunza kama siri wajinga wakubwa.Vipi leo mtasambaza ukimwi maeneo gani katika utekelezaji wa sera yenu kama inavyofanywa na kada wenu Alhaji kapuya?
Hivi john kombe anaimbaga NINIWapiga tarabu wanao tayari mchungaji natse ni mithiri ya hao.
Naona kapuya ameshakupa wale wadudu wake una taharuki tulia mzigo uzamewanachama wa chadema mnamatatizo sana, baada ya kudili na viongoziwenu kwa matendo wanayofanya hayaendani na utaifa wetu mnadili na Kapuya? ha ha ha, kumbukeni kiongozi wenu mkubwa alikwenda DUBEI kutafuta maisha akafanikisha kununuliwa nyuma, mwingine alikwenda mombasa kutafuta maisha, hayo yote mnatunza kama siri wajinga wakubwa.
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
Tutaona mengi katika uzi huu. Lakini Hongera Kamanda Afande Sele.View attachment 122124
Vipi na huyu kinara wenu wa show katika mikutano yenu ya ndani na nje ya nchi?
Kawni umeshafanya utafiti, wazinifu wengi wanapatikana chama gani? hivi kule igunga wakati wa kampeni kulitokea nini?Watu wengi wanaodhani kwamba wanaweza kuishi nchini bila kufuata utaratibu wa sheria za nchi ndio hupenda kushabikia chadema! Mfano:
1.Wavuta bangi e.g Afande Sele.
2.Waendesha bodaboda wasiokuwa na leseni,bima n.k.
3.Wezi na majambazi e.g Lema.
4.Wagomvi na wasiojua sheria na kanuni. Eg Sugu.
5.Wazinifu na wezi wa wake za watu:
6........... Ongezea!
Kwa tunakoelekea watanzania, wananchi inabidi wawe na maamuzi magumu....hasa kwa hawa vilaza wa chadema