Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Anajisumbua na kupoteza muda wake. mwenzake alisimamishwa kama jiwe tu nu bahati yake historia haijirudiiii
 
Si mbaya. Kichaa aliyejitambua ni zaidi ya Buku 7 10 pale Lumumba. Tanzania ni ya watu wote pasipo ubauguzi. Kama anaweza kuwavuta wenzie, mbao kiukweli ndo walikuwa wapiga kura wa ccm basi 2015 kwa cdm.
 
Ahsante mkuu kwa picha nilitaka waone watu huyo sele anayesemwa alivyokituko ha ha ha ha,bado ya yule mshikaji mwingine sasa kweli chadema manyago.

Kati ya huyu aliyevua nguo, na yule aliye wafunga Akina babu seya kwa sababu ya kugombea mwanamke, na huyo waziri wenu aliyebaka na kuambukiza kitoto ukimwi, nani mshenzi hapa!?
 
Mbona mnawapa sifa chadema ambazo niza ccm, waimba taarabu wapo ccm. Si kina komba, kopa,viki kamata,nk
 
Wapiga tarabu wanao tayari mchungaji natse ni mithiri ya hao.

Kwani Komba ni mpiga nini?
Mbona mnajifanya kusahau?
Huyu si ndie alitoa albam ya Nyerere
'eti ndani ya nusu saa nyimbo 14 kidogo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…