Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

Wakati bado akiwa amekaa kimya dhidi ya ushaidi aliopelekewa na mwakyembe wa kuwataja watu walioshiriki katika tukio la kutaka kumwangamiza mwakyembe said mwema ameanza kuwaamisha watuhumiwa kutoka katika vituo vyao vya kati mmoja wa watuhumiwa wakuu wa sakata hili ni askari polisi mashuhuri wa morogoro anayejulikana kwa jina mashuhuri la Sabasita kampeleka kwenda kuwa mkufunzi CCP moshi.

Said mwema nini kinaendelea?

Wiki iliyopita nilikutana uso kwa uso na huyo 7,6 mji fulani nikamwuliza broo vipi? Nakufananisha ama? Akaniambia tulizaliwaga mapacha na itakuwa unanifananisha na pacha wangu😆😆

Akaniachia kicheko tu na amechoka mbaya kabisa kiafya hata lile suruali la kufunga kifuani hakuna tena maanina😆😆
Amewatesa raia mbaya kabisa huyo Sabasita🙌🏻🙌🏻
 
Wakati bado akiwa amekaa kimya dhidi ya ushaidi aliopelekewa na mwakyembe wa kuwataja watu walioshiriki katika tukio la kutaka kumwangamiza mwakyembe said mwema ameanza kuwaamisha watuhumiwa kutoka katika vituo vyao vya kati mmoja wa watuhumiwa wakuu wa sakata hili ni askari polisi mashuhuri wa morogoro anayejulikana kwa jina mashuhuri la Sabasita kampeleka kwenda kuwa mkufunzi CCP moshi.

Said mwema nini kinaendelea?
Leo nimeona taarifa ya habari kupitia ITV kwamba amejitayarishia kaburi amelijengea kabisa sehemu atakayozikwa.

Huyu mwanaharamu ameshajua madhambi yake sasa asali sana na atubu ajiandae pia kiroho.

Jamaa alikuwa na shabaha hatari sana alimaliza majambazi pale Morogoro balaa. Kuna jambazi mmoja mwanamke alisumbua sana sijui alikuwa na madawa Yule askari walikuwa hawampati kwenye matukio Ila jamaa alikuja kumlamba risasi.
 
Nimeona kwenye gazeti, jamaa kajitengenezea kaburi kama maandalio ya kurejea kwa muumba!
 
Wakati bado akiwa amekaa kimya dhidi ya ushaidi aliopelekewa na mwakyembe wa kuwataja watu walioshiriki katika tukio la kutaka kumwangamiza mwakyembe said mwema ameanza kuwaamisha watuhumiwa kutoka katika vituo vyao vya kati mmoja wa watuhumiwa wakuu wa sakata hili ni askari polisi mashuhuri wa morogoro anayejulikana kwa jina mashuhuri la Sabasita kampeleka kwenda kuwa mkufunzi CCP moshi.

Said mwema nini kinaendelea?
7-6 naskia kastaafu
 
Kupitia thread hii nimemuelewa vyema ndugu SABASITA na kwanini anaweweseka😁
 
Attachments

  • Screenshot_20240305-171134_Instagram.jpg
    Screenshot_20240305-171134_Instagram.jpg
    701.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom