Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

Usiku wa kuamkia leo tarehe 21/22- 7/2020. Baba mzazi wa Tunda (76) kamtoa bure binti yake kwa msanii whozuu...hahaa
Aiseee nimeiona ile video sikutaka kuamini ndo Paty niliyekua namfahamu kiboko ya majambazi

Eti Birthday katoto kamemletea na bwanaake🤣🤣. Halafu anasema eti nilikuona kuanzia Tunda mtoto ulikua unazunguka zunguka nyumbani
 
Sabasita Kimaro! Huyu polisi ni bonge la Mbabe,alikuwa anakamata wahalifu mwenyewe alafu anawakimbiza barabarani kifua wazi hadi kituoni! Enzi hizo watoto walikuwa wanamuona Rambo wa Arusha! mashabiki wa soka wanamjua sana huyu!
Kumbe pia ni baba yake na mlimbwende Cappuchino tunda..
Nimemuona kwenye video ya birthday ya tunda akiapply full misifa kwakumwambia whozu amuoe tunda bila mahali.
 
Aiseee nimeiona ile video sikutaka kuamini ndo Paty niliyekua namfahamu kiboko ya majambazi

Eti Birthday katoto kamemletea na bwanaake. Halafu anasema eti nilikuona kuanzia Tunda mtoto ulikua unazunguka zunguka nyumbani
Mtoto kamrithi baba tabia
 
76 Kimaro (tamka saba sita Kimaro) .... jamaa kwa masifa huyu ....niliwahi kumuona miaka ya mwanzoni 90s akiwa anaswaga kundi la vibaka peke yake pale Kaloleni around about Arusha ....vibaka wanaimbishwa kama kruta aisee ....
 
PATRICK%2BKIMARO%2BSABA%2BSITA%2BNAGAWA%2BCHAI%2BKWA%2BWAETHIOPIA%2B103%2BKTK%2BMAHAKAMA%2BYA%2BHAKIMA%2BMKAZI%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B4.JPG


Huyo hapo akigawa CHAI kwa wasomali!
Hapa JF ndo mtu unaivulia kofia...
 
Back
Top Bottom