Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

Naomba mwenye Profile ya huyo kimaro AKA 76 pamoja na Cv yake amwege huku jamvini tumjue vizuri,kama kaletwa huku Moshi tumjue na tujue jinsi ya kupishana nae njiani Tafadhali.

Huyo7-6 ni njemba fulu afya na imeende hewani vya kutosha pisto 2 kiunoni, micheni ya gold na silver ya kumwaga pete usiseme anapenda sana starehe na misifa kibao hutembelea magari ya kifahari na ma pikipiki makubwa alikuwa meru, akapelekwa mo town then moro niu njemba ya ukweli na ishaua sana nadhani zaidi ya roho 200 zinamhusu yeye mwenyewe...ashakuwa board guard wa sunda mererani at the same time akiwa askari polisi anayetegemewa, kazi zake ni za mkataba hususani kufanya finishing, ukimuona utadhani boss TRA lakini ni cops...jamaa ni noma yani yeye ni baadhi ya watu wachache wenye leseni ya kuua Tz....yani ni expert wa uuwaji anaaminika sana na itambuliwe kuwa yuko karibu na viongozi wa juu sana...anatembelea pisto mbili kiunoni kaweka kama simu fulu adharani anaweza akakupora hata demu wako bar...ni njemba yenye afya na licence ya kuua anavaa zaidi ya yenu kwani suruali zake hufungia mkanda mabegani ukimuona mkimbie ni janga tena zaidi ya izirael mtoa roho ukimuona YUKO JIRANI YAKO WEWE ANZA KUAGA NA KUGAWA URIDHI
 
PATRICK%2BKIMARO%2BSABA%2BSITA%2BNAGAWA%2BCHAI%2BKWA%2BWAETHIOPIA%2B103%2BKTK%2BMAHAKAMA%2BYA%2BHAKIMA%2BMKAZI%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B4.JPG

Huyo hapo akigawa CHAI kwa wasomali!

Kuna uwezekano hii chai ilidhamini na KINANA.
 
huyu mwakembe anatuchanganya aya ya unga ajamaliza ameanzamengine.ameishia wapi kuwataja wauza unga maarufu?vipi kuusu huyu jamaa wa bongo freva na yule mchungaji feki wa original komedi?
 
Naomba mwenye Profile ya huyo kimaro AKA 76 pamoja na Cv yake amwege huku jamvini tumjue vizuri,kama kaletwa huku Moshi tumjue na tujue jinsi ya kupishana nae njiani Tafadhali.

huyo dogo ni laana tupu. namfahamu vizuri sana. kiukweli ana nguvu balaa na baada ya kazi anapenda kuburudika na MIZIGO yenye maumbile makubwa ya nyuma aka wowowo. kule Morogoro alikuwa na mizigo ya hivyo miwili.vibaka walikuwa wanamwogopa balaa.
 
Hii post ya mwaka jana so why leo au kuna any updates.ukweli jamaa ni mtemi anastaili yake ya kiduku kwenye kunyoa hafu na suti zake za chuichui na gari yake kaandika namba zake za simu maana nazo alichongesha za ****767676.ila japo na mengi wanayoyazungmza watu jamaa ni jembe sana alikuwa anafahamu mitandao ya majambazi na alikuwa na informers wazuri sana kiasi cha kufanikiwa kusambaratisha mitandao mingi sana still is capable apelekwe dar tu kitengo kilekile ant robbery.nampenda jamaa maana si mvivu wa kwenda front mwenyewe na majambazi wanamfahamu vizuri wameshindwa mara kadhaa kumuua
 
Huyu Saba Sita, alivuma sana mwaka 1998 wakati wasomali walipovamia huko wilayani Ngorongoro-Loliondo, Serikali ikatanguliza Askali polisi na FFU kutoka maeneo mbalimbali ya nchi ikiwemo Mara, shinyanga, n.k. miongoni mwao alikuwemo huyu "76". Wakati wa mapambano kule Loliondo na Wasomali, Askali polisi wengi walikimbia mapigano lakini huyu "76" Alibaki msituni na wenzie wachache sana, yeye alitumia mbinu kali sana ya kivita, alichukua kofia yake ya kuvaa kichwani akaivalisha juu ya kitu kilichokuwa kinaonekana kama mtu mfano wa "kichwa cha mtu" yeye akaenda pembeni kujificha, wale wasomali wakadhani kuwa yule aliyevishwa kofia ni mtu, wakasogea karibu na kuanza kushambulia, ndo sabasita akiwa na RPG na AK 47, alipofanikiwa kuwaangamiza wasomali wengi tu pale pale, na akambeba mmojawapo hadi ofisi ya mkuu wa wilaya ya NGORONGORO, baada ya hapo ndo serikali ikatuma JWTZ kuja kuendeleza mapambano. Huyu "76" elimu yake ni Darasa la saba na baada ya mafanikio makubwa kule Ngorongoro ndipo aliporudi Arusha akapanda cheo, kwa ufupi yeye anahusishwa sana na mambo ya "sangoma" ambapo RISASI huwa hazipenyi mwilini mwake. over!!!!!!!!!!
 
mwakyembe is one of them so i don't sympathize with him

Even myself I doubt of his opinion.How can he still operating in the government which wanted to steal his life?I hate people of this kind,real I hate as you said he is the part of the Satan team.
 
Huyu Saba Sita, alivuma sana mwaka 1998 wakati wasomali walipovamia huko wilayani Ngorongoro-Loliondo, Serikali ikatanguliza Askali polisi na FFU kutoka maeneo mbalimbali ya nchi ikiwemo Mara, shinyanga, n.k. miongoni mwao alikuwemo huyu "76". Wakati wa mapambano kule Loliondo na Wasomali, Askali polisi wengi walikimbia mapigano lakini huyu "76" Alibaki msituni na wenzie wachache sana, yeye alitumia mbinu kali sana ya kivita, alichukua kofia yake ya kuvaa kichwani akaivalisha juu ya kitu kilichokuwa kinaonekana kama mtu mfano wa "kichwa cha mtu" yeye akaenda pembeni kujificha, wale wasomali wakadhani kuwa yule aliyevishwa kofia ni mtu, wakasogea karibu na kuanza kushambulia, ndo sabasita akiwa na RPG na AK 47, alipofanikiwa kuwaangamiza wasomali wengi tu pale pale, na akambeba mmojawapo hadi ofisi ya mkuu wa wilaya ya NGORONGORO, baada ya hapo ndo serikali ikatuma JWTZ kuja kuendeleza mapambano. Huyu "76" elimu yake ni Darasa la saba na baada ya mafanikio makubwa kule Ngorongoro ndipo aliporudi Arusha akapanda cheo, kwa ufupi yeye anahusishwa sana na mambo ya "sangoma" ambapo RISASI huwa hazipenyi mwilini mwake. over!!!!!!!!!!
.
Unataka kutudanganya hapo kwenye kolezo?Tangu lini polisi wakamiliki AK 47 hadi leo hii!kwa taarifa yako si zaidi ya TANAPA NA JW wanaomiliki mtambo huu wa Kirusi tena ni miaka ya karibuni tu wamenunua hizo.Kule JW walipelekwa baada ya kuuawa kwa OCD Kong`oa ambaye alikuwa mwenyeji wa Morogoro.Pia operasheni hiyo ilifanikishwa kwa kiasi kikubwa na askari aliyekuwa an aitwa Meng`anyi (Marehemu) kutoka mbuga ya serengeti.

Huyo Sabasita ndiye yule aliyekuwa Arusha miaka ya nyuma? Kama ndiye, then no doubt kuhusika kwenye issue ya Mwakyembe. Alikuwa anapenda sifa za kijinga na alipenda kuhusika kwenye matukio ya kutisha, vurugu, na unique. Alikuwa maarufu sana Arusha akahamishiwa Moshi.

E76 sergeant Kimaro mmoja kati askari wapenda sifa za kijinga sana.
 
Back
Top Bottom