[video=facebook;10151279490921367]http://www.facebook.com/photo.php?v=10151279490921367[/video]
mi sioni kitu nimelewa njwiiiiii hapa hebu nicopie tena
nipo simiyu aisee..acha tu kutafuta ubilionere kazi kweliUlikua wapi wewe? Mbona umepotea Mangi?
nipo simiyu aisee..acha tu kutafuta ubilionere kazi kweli
bongo uzushi tu.huku nauzika mbaya.nisipotoka mwaka huu basi..mwenyewe si ulinitosa?Aisee, Mbona umeenda mbali hivyo? Siungenibipu tu nikurushie ubillionaire kwa Mpesa..
bongo uzushi tu.huku nauzika mbaya.nisipotoka mwaka huu basi..mwenyewe si ulinitosa?
sirudi huko kabisa labda uzeeni kabisaFinali bongo bana, Wewe utarudi tuu. Safisha macho huko!
jaman cjui ni miwan yang ya mbao niliyopewa na Deo Filikunjombe
sirudi huko kabisa labda uzeeni kabisa
si utaona/ nifate nini huko sasa?Wote tulisema hivyo!
si utaona/ nifate nini huko sasa?