Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Huyo aliyevaa nguo ya bluu mbona hafanani na huyo polisi?
hako katoto sio kaafande kamevaa nguo za dada ake tu anaishi laini polisi pale mabatini Mwanza kamemaliza na mdogo wangu pale mwanza sec kalikuja home muda flani nilikua likizoDah huu ni uharibifu wa rasili mali za taifa, kwa kutumia kiumbe cha aina hii ambacho ni adimu kuwa mlinz sio haki kabisa
Mkuu hii inaitwa matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Huyu mtoto aliumbwa awe ua kwenye hii dunia kwa ajili ya kuchumwa na wanaojua kuchuma maua, leo wamemgeuza kuwa mkimbiza vibaka mitaani??
Huu ni uonevu wa hali ya juu sana
Siyo ubishi mkuu. Askari wa kike havai hivyo. Anavaa skirt ya blue na shirt la kaki.Ubishi ni kipaji...
Askari wa kike pia huvaa hivyo ukiachilia mbali shati jeupe na sketi ya bluu. Pia huvaa shati la khaki na sketi ya bluu ama shati la khaki na suruali ya khaki. Nimewahi ku date na askari wa kike hivyo niliyazowea hayo mavazi.Siyo ubishi mkuu. Askari wa kike havai hivyo. Anavaa skirt ya blue na shirt la kaki.