Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Aaha ha ha ha ha ha
Mkuu hii inaitwa matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Mkuu hii inaitwa matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Huyu mtoto aliumbwa awe ua kwenye hii dunia kwa ajili ya kuchumwa, leo wamengeuza kuwa mkimbiza vibaka mitaani??
Huu ni uonevu wa hali ya juu sana
teh teh tehLabda huyu yupo kwenye idara ya romantic crime anadeal na uhalifu wa kimapenzi tu!
Hahahaah kweliDah huu ni uharibifu wa rasili mali za taifa, kwa kutumia kiumbe cha aina hii ambacho ni adimu kuwa mlinz sio haki kabisa
Mlitaka nyie tu wamaofisini kama benki, halmashauri, makampuni mfaidi??? Halafu maafande wawe wanaishia kula kwa macho??? Acheni nao wafaidi....Huyo hawezi kuwa afande hata siku moja. hayo magwanda kachukua ya buzi lake then kavaa. weeeee afande awe hivyo then mmepangiwa lindo moja night daaah!!!!
teh teh teh
kweli aisee, yawezekana kabisa.
Ngoja mkuu Amavubi aje atoe namba, nasikia ni jirani yake wa next doorYupo kituo gani ili nikavunje sheria kwenye county yake anisweke ndani? kukamatwa na viumbe mujarabu aina hii ni sunna!
Ngoja mkuu Amavubi aje atoe namba, nasikia ni jirani yake wa next door
Teheteheeee hapa nilipo duse lishafanya yake du!Labda huyu yupo kwenye idara ya romantic crime anadeal na uhalifu wa kimapenzi tu!
Teheteheeee hapa nilipo duse lishafanya yake du!
hahaha...Chunga usije kukojoa kitandani maana unaweza kuhisi unapanda mbegu kama desi kumbe unaharibu shuka!
Yupo staki shariYupo kituo gani ili nikavunje sheria kwenye county yake anisweke ndani? kukamatwa na viumbe mujarabu aina hii ni sunna!
Ubishi ni kipaji...Huyo hawezi kuwa afande hata siku moja. hayo magwanda kachukua ya buzi lake then kavaa. weeeee afande awe hivyo then mmepangiwa lindo moja night daaah!!!!