ngilenengo1
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,275
- 605
Ndo wewe ni doctor halafu afande anakuja kwako ana maumivu ya mgongo, kichomi - Utamgeuza kama mpira, lazima umpime Ultra sound lol
Mkuu, wangekaharibu tu kale katoto kawatu aisee. Mi polisi ile ilivyokomaa dah, nikakuta roho ya huruma imeniingia ghafla. Nikasema hapana, sura kama hii haijaumbiwa shida, itakua tunaharibu kazi ya Muumba. Anahitaji fullu ac ili kuendelea kutunza alichoumba Mwenyezi.hahaaaaa! mkuu hongera sana!
anza kupokra hongera zangu mapema sana!!!