Nimempenda sna ni mzr hafai kuwa afande hizo nguo kaazima tu
Nakajua katoto kamoja kamemaliza form 4 familia haiko vizuri kwahio kakaomba polisi kakapata. Kako kama huyo nyaturu mixture burushi. Nimeamua kuingilia kati na kujitolea kakasome airticketing au iT au secretarial yani vitu laini laini tu. Maana mafanikio yake ya maishani anayo tayari. Baada ya miaka miwili mh...sijui.

Acheni kujipendekeza?! Mna makosa gani hadi aje kuwakamata nyie?!!!...si bora mie chumbani kwangu kumejaa misokoto ya bangee!!! Afandeee njoo huku[/QUO
Lol.. afande nenda kwa kiteitei over!
Dah huyu akitokezea mbele lazima ufanye uhalifu, akikukimbiza unakimbilia "room"...Kha, mtoto kama haendi chooni!!
wewe ni mtabiri??Yani umeona sura tu, umeweza kutabiri kua ana mzigo?hakika macho yako yana uwezo zaidi ya CCTV-cameraDah huyu akitokezea mbele lazima ufanye uhalifu, akikukimbiza unakimbilia "room"...Kha, mtoto kama haendi chooni!!