GE2025 Afande Muliro: Unasema utalinda kura, utalindaje?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani?

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa akihojiwa katika kituo cha televisheni cha Clouds TV jijini Dar es Salaam.

Kauli ya Oktoba Linda Kura inatumiwa na Chama cha ACT Wazalendo.

Huyo ndiye aliyeshiriki kufungua kesi ya AKWILINE Watu wakafungwa na hatimaye jaji ameamua rufaa kwamba watu walibambikiwa kesi ile na iliamuliwa kimakosa.

Kwa kitendo kile tualipaswa kupigwa chini huyo badala yake akapandishwa cheo
Muulizeni yupo wapi MAMBO SASA?

Pamoja na kwenda KUROGA kule MBAGALA ili awe IGP lakini haijawa na sasa anafundisha huko
 
Hao c Police CCM mkuu🤔🤔 ,ss Hilo swali lako atalindaje kura linatoka wapi wkt wanajulikana wao police na CCM ni kama mate na ulimii😀😀😀

Kiufupi wanalindanaaa hao..
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani?

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa akihojiwa katika kituo cha televisheni cha Clouds TV jijini Dar es Salaam.

Kauli ya Oktoba Linda Kura inatumiwa na Chama cha ACT Wazalendo.

View attachment 3414226
tired of these people
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani?

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa akihojiwa katika kituo cha televisheni cha Clouds TV jijini Dar es Salaam.

Kauli ya Oktoba Linda Kura inatumiwa na Chama cha ACT Wazalendo.

Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Hivi hakuna mtu aende akammalizie baba yake wa hili choko kiongozi la watekaji DSM? Hili jitu hata akili halina linawaza kuwa li IGP kwa IQ ndogo hivyo walizonazo polisi huyu mbwa Koko anazidiwa hata na coplo wa kawaida kwenye hilo jeshi la watekaji ndio aje alinde kura?
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani?

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa akihojiwa katika kituo cha televisheni cha Clouds TV jijini Dar es Salaam.

Kauli ya Oktoba Linda Kura inatumiwa na Chama cha ACT Wazalendo.

ZZK njoo huku kuna ujumbe wenu nyie maACT
 
Back
Top Bottom