Hii picha kama sikosei ni ya yule nyau aliyepigwa risasi na akawa mbishi kufa huyo paka alikuwa na roho 70 sio 7. Ilitokea majuzi huko kenya. Sasa hapo wanamshangaa kuwa bado anahema na anakimbia.
Mmh hapana watu8 kuna tukio hapo mwangalie mkononi kashika mini halafu nyuma yake kuna mkono unamwonyesha kitu.....!!!! Ila kakaa kizembe mno