Mkuu Inkoskazi ukienda kuifanya hiyo kazi ya upolisi-hasa hapa DSM, si utapendeza?
Upo sahihi kwa ushauri mzuri mkuu lakini ukweli lazima uwekwe mezani hata kama ni mchungu kumeza..kama ni hivyo magazeti na redio nyingi zingetakiwa kukamatwa kwanza..nina imani hata hao waliotekeleza hayo nafsi zinawasuta na tusiposema watajuaje wamekosea? Kinadharia kule Zbr walifuta azimio la arusha na ujamaaa na kujitegemea hivyo tupo katika era nyingine ya uwazi nahilo ni onyo, sirudii tena though mimi ni CHADEMA lakini naomba ufute hii post....period
hatuna jeshi polisi tz,hata walipoongea leo na wanahabar aibu tupu kazi yao kubwa kesi bandia na kufanyakazi kwa ndoto
warudi tena shule kusoma tena chekechea
uamuzi wa busara ungewapa shavu san TPF..kwa leo nathubutu kumpa pongezi ACP Akili Mpwapwa kwa kuhakikisha no triggering at arusha wakati mwenyekiti wa CDM alipoachiwa na wafuasi kuingia mtaani kumpeleka hotelini KIBO Palace
Katika mkutano huo na waandishi yule Commissioner wa operations Chagonja alimkandia sana Mbowe na kumuita kila aina ya majina - kwamba hafai kuwa rais, ana majivuno, mbinafsi etc etc. Mwandishi mmoja aliyekuwapo hapo alinidokezea kwamba wakati anayasema hayo alikuwa hajui kama Mbowe alikuwa kisha achiliwa!
Nadhani baadaye aliposikia Mbowe kaachiwa Chagonja aliona aibu kubwa sana.
Haya mapovu yote kwa kuwa Mbowe kawekwa kizuizini na polisi na akapelekwa mahakamani on time.
Wakulaumiwa ni Mbowe, mbona wenzake ilipotolewa amri ya kufika mahakamani walifika na wakaongezewa dhamana? sasa yeye kwa kuwa ni kiongozi wa upinzani basi mahakama imekuwa chini yake?
Hakimu na ma polisi wameonesha mfano mzuri sana, huyu Mbowe ni mmoja katika hao watunga sheria sasa ikiwa mtunga sheria halafu sheria zake hataki kuzifata ni nani wakutolewa mfano wa hizo sheria?
Hongera mahakama, hongera Kova.
Mods will rate the topic and decide