Afande Kova VS Shetta

Lugoba Investment

Senior Member
Dec 5, 2013
180
186
Angalia picha kwa makini kisha sema ulichogundua
9e9ecefd58fdba5fd46ca0e2df8b5391.jpg
 
Kwa jinsi mfanano ulivyo sio bure ipo namna. Hebu fikiri kama ni wewe ndio baba wa Shetta, halafu unaona hii picha ya Mkuu Kova sijui utamwangaliaje mkeo. Mwisho utaishia kusema tukapime DNA ili kupata ukweli halisi.
 
Mimi kitambo nilidhani kova ni babake shetta,baadaye nikasikia siyo babake nilishituka...ila watakua na undugu hata wambali mbali
 
Mimi kitambo nilidhani kova ni babake shetta,baadaye nikasikia siyo babake nilishituka...ila watakua na undugu hata wambali mbali
Yawezekana manake huu mfanano unaacha maswali mengi sana!
 
Back
Top Bottom