Afande kazini!

munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,109
922
Dah, ama kweli shibe noma...Tell me, what do you think?!
 

Attachments

  • Duuh.jpg
    Duuh.jpg
    61.7 KB · Views: 216
Vibaka wakiivizia hiyo silaha na atakapoamka anakuta imetoweka, atatunga usanii gani kujenga utetezi kwa wakubwa zake? Kwamba amevamiwa hakuna dalili ya purukushani, labda avua magwanda hayo na kuyapaka vumbi, lakini kama ni dar vumbi lake ni mchanga hukung'utika na kubaki nguo bado nzuri, labda jasho tu ndilo chumvi ya mwilini ikikaukia nguoni kuna mabaka ya chumvichuvi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom