Afande anapoleta uzembe kazini

Afande anapoleta uzembe kazini

Sasa nyie mnafikiri askari ni vyuma ee. Thibitisha kuwa alisinzia kazini.
 
ngoja tusubiri kama watamfukuza kama wale wengine
 
Alikuwa anamtega mhalifu hapo. Hajasinzia.
 
Back
Top Bottom