Afadhali ya panyaroad kuliko hawa

Afadhali ya panyaroad kuliko hawa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421082200444.jpg1421082227101.jpg
 
Ah mie nipo good sana namshkuru mola kwa kunijaalia pumzi ambazo silipii ata thumni


Vipi wewe na mama kijacho

Mola ni mwema sana kwangu ma kijacho tayari keshatua mzigo
 
Wow mabrouk alf mabrouk

Hee wewe mbaya sana mbona hukuniambia nkaja kumpikia mzazi uji na kubimba mtoto?

Niwie radhi bure farkhina I was offline since the beginning of this year ndo kwanza juzi nimerudi hewani
 
Last edited by a moderator:
Mtaa kwa mtaa circumcision, Wahaya wengi hawajatahiriwa.
cc Rugemalira
 
Back
Top Bottom