VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
nimekuja spidi zote kuna mabo mazuri humu kwenye thread kumbe................... ARGGGGGGGGGGGGGGGGGGHHHHHHHH
mambo gani mazuri uliyoyategemea ??Nimekuja speed zote nikijua thread ina mambo mazuri kumbe............. ARGGGGGGGGGGGGHHHHHH umeniharibia siku mkuu ngoja nkapate moja moto niweke akili sawa.............
sie dio tunaijza dunia mkuuWatumwa wa ngono utawajua tu
haya ya bora nyuma kuliko mbele...........mambo gani mazuri uliyoyategemea ??
haya ya bora nyuma kuliko mbele...........
una miss mengi sana hapa duniani.............au unaogopa moto wa milele??ya uko nyuma mi nayaogopa, ya mbele ndo aadhali aiseee
'Difenda' lililopaki hapa mbele ya Kituo Kidogo cha Polisi,Mlimani-UDSM limechoka. Mbele,kwa Dereva na maofisa wengine,pako nyang'anyang'a. Viti vyote vimeharibika. Afadhali hata nyuma kwake kunavutia. Polisi mnatia aibu. Tumikieni wadhalimu wa CCM na mjijali. Aibu kweli..
roho yangu nyepesi bado imeshika neno la mungu, haka ka mchezo kwa kweli hapana,una miss mengi sana hapa duniani.............au unaogopa moto wa milele??
roho yangu nyepesi bado imeshika neno la mungu, haka ka mchezo kwa kweli hapana,