Afadhali niseme yanayonisibu ili nisaidiwe

lete handbag huku. halafu imebadilisha inatoa sh. za Tanzania maana umeipatia Rwanda
 
Mnajaza server ya JF kwa stori za kupika. Mimi nilianza kuchungulia JF tangu 2006, ilinichukua miaka karibu minne kujiunga, hapo kabla nilipenda kuperuzi threads nzuri zenye kujenga hivyo nikajiona irrelevant kuanza kupost topics japo tiari nilikuwa graduate since 2006.
Lakini vijana na wa sikuhizi wanalinganisha jamvi na vijimitandao kama fb na blogs uchwara!
Badilikeni vijana, mtakosa nasaha za kaka zenu na babu zenu waliomo humu.
 
Mkuu tatizo lingekua kwako naamin usingenikejeli hv na huwez linganisha JF na FB kwa namna yoyote ile pole kama umeudhika lkn ushauri wako ni muhim sana

Mnajaza server ya JF kwa stori za kupika. Mimi nilianza kuchungulia JF tangu 2006, ilinichukua miaka karibu minne kujiunga, hapo kabla nilipenda kuperuzi threads nzuri zenye kujenga hivyo nikajiona irrelevant kuanza kupost topics japo tiari nilikuwa graduate since 2006.
Lakini vijana na wa sikuhizi wanalinganisha jamvi na vijimitandao kama fb na blogs uchwara!
Badilikeni vijana, mtakosa nasaha za kaka zenu na babu zenu waliomo humu.
 
Mkuu nitayaweka wazi lkn ni
pamoja na tawswira yake kunijia mara kadhaa ninapokua nagegeda mabinti
wengine na kuishiwa nguvu kabisa na dushe kulala kama mzoga basi
tu
Pole you need a total Deliverance.
 
Wakuu habari ya leo na poleni na majukum ya kila siku, mimi mwenzenu yamenikuta makubwa kama ifuatavo:
mwezi wa kumi mwaka jana nilikua kigali kwa matembezi na nilifikia hotel iitwayo Serena hotel , baada ya siku tatu pale nikaenda night club moja nikiwa natoka kurudi kupumzika nikakutana na mtoto alieumbika mwenyewe nilisimama nikampa lift tukaelekea hotel, ndugu zangu huyu binti kiukweli toka cku ile simwelewi kabisa alianiachia handbag yake akanieleza niitunze sana ktk maisha yangu na nilijaribu kukataa ikashindikana na ajabu kubwa ni pale ninapokuta fedha ambazo sikuziweka kwenye mkoba huo na alinielza atafka TZ kutembea hajaja simu yake aliyonipa haipo hewani na siku ile chumbani baada ya kugegedana aliondoka saa kumi na moja asubuhi sielewi hapa naomba ushauri wanajamvi

umenikumbusha wimbo Wa Tubonge Wa Jose chameleon....!!!
 
mmhh, mkuu waweza beba jambazi jamani kwa kiu ya papuchi, yaan nashindwa kuelewa unabebaje mtu usomjua, umekutana nae tu unaenda kulala nae, huogopi majini au kuibiwa.
 
Wasiliana na MziziMkavu atakusaidia! Huyo anayekusumbua ni SHEHNA!
Wakuu habari ya leo na poleni na majukum ya kila siku, mimi mwenzenu yamenikuta makubwa kama ifuatavo:
mwezi wa kumi mwaka jana nilikua kigali kwa matembezi na nilifikia hotel iitwayo Serena hotel , baada ya siku tatu pale nikaenda night club moja nikiwa natoka kurudi kupumzika nikakutana na mtoto alieumbika mwenyewe nilisimama nikampa lift tukaelekea hotel, ndugu zangu huyu binti kiukweli toka cku ile simwelewi kabisa alianiachia handbag yake akanieleza niitunze sana ktk maisha yangu na nilijaribu kukataa ikashindikana na ajabu kubwa ni pale ninapokuta fedha ambazo sikuziweka kwenye mkoba huo na alinielza atafka TZ kutembea hajaja simu yake aliyonipa haipo hewani na siku ile chumbani baada ya kugegedana aliondoka saa kumi na moja asubuhi sielewi hapa naomba ushauri wanajamvi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwaiyo ulisafiri na gari yko kwenda rwanda.. au ulimwambia derva taksi simamisha Umpatie huyo dada lift.. kama vile haiingi akilin ila kama ni kweli... mkuu hilo litakua Jini cha muhimu nikuzingatia maombi
 
Mambo mengine bana......unawaza nini sasa we si ulijidai kidume cha shoka
 
Back
Top Bottom