Halafu yeye mugeni KIgari sijui lifti alimupatia kwa mugari ya teksi bubu, aisee ni ngumu kumesaUnamkuta msichana usiku yuko peke yake unampa lifti, unamgegeda ! Hii ngumu kumesa, kwa msichana wa kawaida kutembea usiku wa manane baada ya kutoka club sio kawaida ni jini hilo
Hakuna kitambulisho chake hakuna jina? yani hata number labda aliandika sehemu? jina la mtu yoyote au hiyo pochi
inanini ndani zaidi ya pesa? wewe ulimpa number yako ya TZ? kama umempa yako uweke la hukumpa inawezekana anakujua
wewe humjui,sio kila unaekutana nae ni Jini lakini sikunyengine angalia sana kupewa vitu kwanza pekua huo mzigo usije pewa Sembe mwenye huna habari,angalia sana sikunyengine ukienda safari basi fata lile lilokupeleka warembo hawaishi...
Halafu yeye mugeni KIgari sijui lifti alimupatia kwa mugari ya teksi bubu, aisee ni ngumu kumesa
Mmmh pole.
Nilijua umedondoka na rwandaair sii unajua kimatembezi, sikujua kama uliamua kukanyaga mafuta toka tz paka pande zileKwa hiyo unashangaa kuingia rwanda na gari kutoka tanzania au unamaanisha nini mkuu?
Msikubali tamaa za mwili zkawatawala kiasi icho jmn,ulipata wapi ujasiri wa kulala na m2 uliyemkuta barabarani ucku uo? Naisi wewe sio muoga.Peleka tu uo mkoba kanisani na uombewe.