Acha tu mateso ninayoyapata kwa sababu ya huyu binti hapana basi tu mengine siwez yaweka hadharani nimechoa sasa
Wakuu habari ya leo na poleni na majukum ya kila siku, mimi mwenzenu yamenikuta makubwa kama ifuatavo:
mwezi wa kumi mwaka jana nilikua kigali kwa matembezi na nilifikia hotel iitwayo Serena hotel , baada ya siku tatu pale nikaenda night club moja nikiwa natoka kurudi kupumzika nikakutana na mtoto alieumbika mwenyewe nilisimama nikampa lift tukaelekea hotel, ndugu zangu huyu binti kiukweli toka cku ile simwelewi kabisa alianiachia handbag yake akanieleza niitunze sana ktk maisha yangu na nilijaribu kukataa ikashindikana na ajabu kubwa ni pale ninapokuta fedha ambazo sikuziweka kwenye mkoba huo na alinielza atafka TZ kutembea hajaja simu yake aliyonipa haipo hewani na siku ile chumbani baada ya kugegedana aliondoka saa kumi na moja asubuhi sielewi hapa naomba ushauri wanajamvi

Jini mahaba.nenda kaombewe kanisani kama nk mkristu.
ni muda wako sasa wa kwenda kuonana na wachungaji..
nenda kanisani ukafanyiwe maombi pamoja na huo mkoba wako..
Tamaa mbele mauti,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Hivi unawezaje kukutana na mtu cku ya 1 tu tena ucku halafu ???????????????????????? nashindwa kuelewa kwa kweli,,
unaongozwa na tamaa zaidi kuliko upendo
Uliona watu wa kigali ni wajinga kuachia mtoto mzuri usiku tena peke yake ukajiokotea, ona sasa umeokota jini...
Si vyote ving'aavyo ni dhahabu.
Thanks God kwamba uliwahi ukazaa na watoto wawili ukiwa chuo
maana unaweza kuta unaishia kuzaa watoto wa ajabu ajabu na jini
Hapo ni maombi tu no way out,,,,,,,,,,,,,,,na hela ukizikuta zimejaa ndani ya hiyo pochi zooote fasta peleka kanisani au msikitini bila kuacha hata cent 1.
weka hadharani
Tamaa mbele mauti,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Hivi unawezaje kukutana na mtu cku ya 1 tu tena ucku halafu ???????????????????????? nashindwa kuelewa kwa kweli,,
unaongozwa na tamaa zaidi kuliko upendo
Uliona watu wa kigali ni wajinga kuachia mtoto mzuri usiku tena peke yake ukajiokotea, ona sasa umeokota jini...
Si vyote ving'aavyo ni dhahabu.
Acha umbea....