Afadhali Kikwete kuliko Rais ajaye

Unaweza ukawa sheikh yahaya mpya......utabiri wako unaweza ukawa kweli kutokana na umbumbu wa watz wa kuchagua ccm.........
 
Jamani, una maana mnataka Dr. AshaRose Migiro ndiye mnapendekeaza awe raisi mwaka 2015?
Kusema kweli yule mama ni mpole na mnyenyekevu kama atapendekezwa kuwa raisi na akapata watendaji wazuri hata mimi naona anafaa. Tuombe Mungu atuchagulie pia.

Maneno yako sikubaliani nayo kabisa kwa asilimia zote. Mwaka 2005tulisema Kikwete ni mtu anayefaa kuwa Rais wa Tanzania.


Kumbe heri tusingelikuwa na Rais tubakie na Wabunge tu.


TUNAJUTAAAAAAAAAAAAaaaaaaaa!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
bora rais atoke sehemu yeyote au chama chochote lakini sio chama cha kutoka kaskazini CHADEMA . hapana hatuitaki CHADEMA
 
Back
Top Bottom