Afa akifanya mapenzi gesti

Jana kuna mdau alileta uzi wa watu wanaozini hufa,sijui ameupata kwa MJAPANI
 

Angeendelea na SITA angekuwa akinunua vitu kwa futari ya jioni hii. Kafungulia kila kitu.
 
46 - 25 = 21

Mmmh huyo si kama mwanaye kabisa!!!
 
Ni ma viagra,ma -erecto na ma-vega,mimi siku moja kidogo yanitoe roho

Heshima kwako! Tunaomba ufafanuzi kadiri ya yaliyokutokea, kufanya hivyo kunaweza kuokoa nguvu kazi.
 
Lazima bibie alizidisha ufundi baada ya kukaa mwezi bila hiyo kitu,jamaa kafroti halafu mpenzi akajua jamaa anaongeza korasi kumbe anamrestisha ini pisi haki ya nani...
 
Kama ameacha familia ni jambo la aibu sana, ila biblia inasema "asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe" wengi tunashiriki mechi za mchangani ila zamu zetu hazijafika na tuombe tusifikwe na mwisho mbaya wa namna hii maana aina ya kifo ni kiashiria cha amali ulizozitanguliza mbele ya haki.
 
Kweli king Kong III huyu mtu atuambie aliponaje, na alivyotumia alijisikiaje.
 
Uzinzi umezidi tukisema mnashinda na njaa hamfungi mnalalamika hya aibu hyo juu yenu.
 
RIP MTOA HUDUMA! BILA WAHUDUMU KAMA WEWE SISI AMBAO HATUOLEWA TUTAHUDUMIWA NA NANI??LAZIMA TUBANANE HUMOHMO:rip:
 
Amekufa kishujaa kama ditopile mzuzuri.
 
Kafa na kithibit cha kuvunja amri ya sita, cjui atajitetea je?
 
Heri ufe kuliko demu akufie gesti! Usiombe ikukute, ni balaa! Tusimcheke huyu jamaa, sisi wote ni wazinzi tu, hatujui lipi litatukuta sisi. Eeh! MUNGU baba tusamehe maovu yetu. Amina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…