Niaje wadau wa Jf. Kuna Rafiki yangu ameghafilika hajui afanyeji. Ali funga uchumba na Binti fulani lakini hajaenda kule nyumbani kwa yule mchumba wake wa kike. Kwa ufupi hajaonana na wazazi wake. Sasa yule babake mchumba wake alikufa juzi, saa hii yuko kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Je, huyu rafiki ambaye babake mchumba wake amekufa, Je.aende kumzika au asiende?

Teh kuna kufunga urafiki, kufunga mapenzi, kufunga uchumba afu tunamalizia kufunga ndoa.....Kufunga uchumba ndio nini?
Teh kuna kufunga urafiki, kufunga mapenzi, kufunga uchumba afu tunamalizia kufunga ndoa.....