Aende chuo kipi kati ya UDSM na SUA

Aende chuo kipi kati ya UDSM na SUA

Nlichokiona mpaka sasa watu wa UD hawana points,points zao ni chuo kipo mjini na kutaja majina ya majengo ya UD
 
SUA ndio kitu gani!? Wewe unaanzaje kusoma chuo kina jina la mtu! Sokoine sijui, Sebastian madudu gani Mara kairuki....Damn haven't you heard bout Harvard, Oxford All those r cities nenda Chuo kikuu UDSM usiende hicho.
Hahaha aisee
 
Aende SUA kwa kigezo cha specialization ya chuo.

UDSM na agriculture wapi na wapi?
Ataipata degree but akisema ni ya udsm hatutaweza kumuelewa vizuri
Unamaanisha lecturers wa UDSM hawakijui wanachokifundisha?
 
Back
Top Bottom