miss username
Member
- Mar 30, 2013
- 78
- 32
Nina
kiasi cha shilingi 7mil na ninataka kununua usafiri wangu binafsi.
Naombeni wenye uzoefu na magari mnishauri ni aina gani ya gari naweza
kuipata kutoka show room kwa kiasi hicho cha fedha.
Binafsi nilikuwa napendelea toyota mark II ila sasa sijui bei yake
ikoje.
Then naomba kujua gharama za utunzaji gari zikoje kwa mfano inatakiwa
ifanyiwe service mara ngapi kwa mwezi.
Mshara wangu ni lak 3 kwa mwezi sina familia je nitaweza kuzimudu gharama za utunzaji gari?
show room hautopata gari kwa bei hiyo, option ni kununua kwa mtu.
nakushauri ununue Toyota corolla AE110 au AE111. au Toyota Starlet model yoyote except Glanza
spear parts ni nafuu, body ni ngumu na fuel economic cz beinya mafuta inatia kichaa
achana na vigari vya kibishoo kama Duet, IST, Nissan March, hizi ni gari laini na sio imara
Mark 2, chaser na cresta ni majini mahaba, utafilisi mfuko wako kununua mafuta
Kwa experience ya magar niloyonayo we itakufaa toyota carina,hiz gar ni nzur sana hazir mafuta,spare parts ni rahis kupat na ni cheap,uta enjoy nakuhakikishia
show room hautopata gari kwa bei hiyo, option ni kununua kwa mtu.
nakushauri ununue Toyota corolla AE110 au AE111. au Toyota Starlet model yoyote except Glanza
spear parts ni nafuu, body ni ngumu na fuel economic cz beinya mafuta inatia kichaa
achana na vigari vya kibishoo kama Duet, IST, Nissan March, hizi ni gari laini na sio imara
Mark 2, chaser na cresta ni majini mahaba, utafilisi mfuko wako kununua mafuta
Duu kweli vijana kazi tunayo vijana una mshahara wa laki 3 unataka kununua gari? Jijenge kwanza dogo kununua gari la matumizi binafsi ni kujipunguzia speed ya kukua kiuchumi.Zungusha hizo mil 7 zako ili kuja kununua gari ukiwa una raha zako zote na uwezo wa kununua fuel