Jeshi la Polisi limemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi, Barnabas Mwakalukwa kuwa msemaji wake

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,263
Jeshi la Polisi limemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi, Barnabas Mwakulukwa kuwa msemaji wake kuchukua nafasi ya Advera Bulimba.
 
Huyu jamaa BARNABAS niliwakumshuhudia ktk kipindi cha MALUMBANO YA HOJA

kwenye moja ya mada za POLISI JAMII jamaa alitoa Maelezo ya utangulizi ukumbi mzima ulimshangilia kuonesha kuwa ana kitu KICHWANI MWAKE

Mpaka msimamizi akashangaa na kusema ni Mara chache saana au hakuna askari polisi aliyekaa hapo mbele na kujieleza mpaka kupigiwa makofi.
 
Msemaji wa nini? baadae waje na Taarifa kuwa watu wanaodhaniwa majambazi wameuawa huko vichakani pasipo polisi kujeruhiwa, hizo sinema ndizo watanzania hawazitaki kabsa.
Huenda hiyo ni sababu ya polisi kubadilisha msemaji maana taarifa wanazotoa kila msomaji mwenye uelewa anazitilia shaka.
 
Back
Top Bottom