Alichosema Advera Senso kwa niaba ya jeshi la polisi

Alichosema Advera Senso kwa niaba ya jeshi la polisi

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wana jf?
jana nliangalia taarifa ya habari nkaona habari inasema jeshi la polisi latoa onyo dhidi ya matumizi mabaya ya mitandao iwe ya simu au ile ya kijamii, tangazo/onyo hili liliwasilishwa na mama Advera Senso kwenye vyombo vya habari.

Sasa mimi naomba wana jf mnijuze hasa wataalamu wa maswala ya IT kwamba Tanzania are we good on networking security tracking system kiasi cha kwamba sasa jeshi la polisi lipo tayari kupambana? au ni pro-active measure technique?
 
Kama wewe hio haikuhusu .Inawahusu wale wanaotumia mitandao kufanya uhalifu au kufanya uchochezi wa namna yoyote.

Nadhani wana uwezo mkubwa sana kufuatilia mtu yeyote endapo atatumia mtandao kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

Hapo namuunga mkono huyo mama Senso.
 
.. bomouwa unaonaje wewe ukamsemea mtu lugha chafu au kumkashifu mtu yaani fanya kama utafiti uone mkuu wakikukamata watu jf tutakuaaidia....kwikwikwikwi
 
Last edited by a moderator:
Nimemsikia pia msemaji wa TCRA akiwatetea kwa 'staili ya pekee' wanafunzi wa vyuo hasa wa kike, anasema kuwa wakiwa na wapenzi wao huwa wanapiga picha chafu halafu wakisha achana 'walioachwa' wanaziweka kwenye mitandao ya kijamii.
Najiuliza kama mamlaka za utawala zina muda na rasilimali wa kufuatilia mambo madogo kama haya!
 
Kama wewe hio haikuhusu .Inawahusu wale wanaotumia mitandao kufanya uhalifu au kufanya uchochezi wa namna yoyote.

Nadhani wana uwezo mkubwa sana kufuatilia mtu yeyote endapo atatumia mtandao kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

Hapo namuunga mkono huyo mama Senso.

Hasa wale wanaounga mkono magaidi wa ISIS,BOKO HARAM ,EL SHAABAB
 
.. bomouwa unaonaje wewe ukamsemea mtu lugha chafu au kumkashifu mtu yaani fanya kama utafiti uone mkuu wakikukamata watu jf tutakuaaidia....kwikwikwikwi

mrangi unataka njaribu ----- kujua kama unawasha au la?hanapa kwakweli nimeuliza tu sitaki kuolewa jela
 
That is bad comment

Yes let me help you pale Polisi HQ kuna kitengo cha Cyber Crime very effective, hata wewe na hiyo comment wakitaka utagongewa mlango, nawasifu sana wale jamaa.

msemaovyo nakushauri ubadili username ujiite "mwenye busara" maana umetoa comment nzuri na pia umetoa mchango wako kisomi.tafadhali jiite nlivoshauri.
 
yaani mke wangu mwenyewe nimelipia mahari halafu jeshi la polisi mnakataza nisitumie mtandao wake? no way mi ntatumia mtandao mpaka nazeeka
 
Nafikiri mtandao ukitumika vyema ni faida kwa Jamii na hasa Maadili ya Kitanzania. Ila kuna wengine wanatumia kutangaza biashara zao fulani (Matangazo ya Kujiuza). Naomba tuwe waungwana katika matumizi ya Mitandao. Usije kujilaumu masuala yanapokuja kukugeuka someni Sheria ya EPOCA ya 2010 mutaelewa mengi
 
Angewaelaza polisi waache kupost picha chafu kwenye mitandao wanapokwenda kuchukua miili ya watu waliokufa kwa aibu kama mfanyabiashara maarufu mzee meteli aliyefia guest.Walimpiga picha akiwa uchi was kama alivyozaliwa na kuzituma kwenye Whastpy,hivyo hivyo merehemu Eresto msuya aliyepigwa risasi maeneo ya mijohoroni maeneo ya boma ngombe mkoa was kilimanjaro.Polisi walimvua nguo wa wakampiga picha akiwa uchi na kuzituma whatsp.Walimpiga picha wakati wakimkagua riasi 21 aliyepigwa.
 
That is bad comment

Yes let me help you pale Polisi HQ kuna kitengo cha Cyber Crime very effective, hata wewe na hiyo comment wakitaka utagongewa mlango, nawasifu sana wale jamaa.

acha kudanganya watu wazima na akili zao..
 
Na waanzie humu humu jukwaani nadhani watasekwa rumande wengi sana hasa kina................na hasa huyu............. Na wote wenye mioyo michafu
 
Back
Top Bottom