Adventure With A Superman

Naweza pia kusaidia kazi za nyumbani . . .

Haya anza na usafi ndani. . .
Ukimaliza uoshe vyombo. . .
Baada ya hapo upike. . .
Wakati nakula ufue. .
Ukimaliza ntakua nshashiba niandalie maji ya kuoga kabla hujaosha vyombo.

Kazi nyingine ntakuagiza kabla sijapumzika.
 
Hehehehe njoo asubuhi alafu utakaa mpaka jioni.Breakfast kiepe yai. . .lunch kiepe kuku na dinner kiepe mishkaki!

Dah.........UMENIKAMATAAAAA!!!! Yaani monile tu nishatia maguu, ila usishangae nikiomba kukaa wiki nzima lol!!!
 
Dah.........UMENIKAMATAAAAA!!!! Yaani monile tu nishatia maguu, ila usishangae nikiomba kukaa wiki nzima lol!!!

Hahahaha. . . We ilimradi mfanye kazi tu na besti yako.
Chakuamkia kesho kutwa kiepe samaki. . . alafu unapumzika siku moja kabla ya kurudia viepe.
 
Khaaa! Ndo unapiga Astakafiri hata kama si mtu wako? Kwani yeye hafai?

Sasa wewe mtu wako ni nani?
Nimeshangaa supamani manake ulianza na NN sasa tena wahamia kwa mbu...

Nilimpendekeza vile namkubali akitoa hoja MMU, hana masikhara na ni mtu ambaye yeyote anaweza kujifunza kutoka kwake! Si zaidi ya hapo supamani!
 
Haya anza na usafi ndani. . .
Ukimaliza uoshe vyombo. . .
Baada ya hapo upike. . .
Wakati nakula ufue. .
Ukimaliza ntakua nshashiba niandalie maji ya kuoga kabla hujaosha vyombo.

Kazi nyingine ntakuagiza kabla sijapumzika.

Worry not . . . nakuja, let me take the gears . . . . will be right back!
 
Nimeshamkumbusha.

Mkuu sina deni na mtu mie. Ila just in case ukihitaji pesa, here is the money. All yours!

Then twende huku kwanza . . . .

Ukiendelea kunisema vibaya nakudondosha! lol
Usiniambie 'just in case....,' you are making it sound like you are giving that to me out of kunisaidia...hell no!
Lipa deni bana Supamani usijidai utanidondosha, kwani tunaenda wapi?
Me aint going nowhere with you...
 
Anaenda kukutupa baharini manake umezidi kumsonga na hilo deni la boss wako NN!
 
Hahaha! Umehakikisha wamelala?
Acha tu, mtoto mkubwa hadi anap si kazi ndogo hivoo
Mwanangu mdogo hana neno, mida ikifika tu huyoo kimya kimya.....ila sema akiwahi kuamka lazima akamuamsha mtoto mkubwa sijui anataka kupelekwa wapi leo weekend....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…