Ukinitumia movies kama 2 -3 kwenye email ya babu hapo chini,...wajukuu watanikubali kwamba kweli mie ni babu yao original!!
Hivi hii speed ndiyo tulikeshanayo kutangaza matokeo ya Dr Slaa yaliyochakachuliwa??
Babu DC!
nadhani, wanawake wote watasema ndio.
Poor me, shemale with 2 possessive husbands. 🙁 🙁
ntatoroka siku moja nije.
Kaaazi kweli kweli!!!
wifi kaka excellent hajambo? Lol.
Really? Are u? Just ask me what I should do for you to make u happy? Remember, I am Superman.
Mmh! What is going on in your mind? You can ask me for anything.
mambo lizzy?za week-end?
Ooh YES, just ask. No extremes. Extraordinary requests are Ok.
wifi nini tena kuniwekea kitumbua changu mchanga?aaargghh
Mkuu, umeshasema: SUPERMAN.
Siendi anga za watu mie.
Poa Kaby. . .mzima wewe?!
hehehe! Wifi usijali, superman hajasoma pale.
Karibu sana: