Advans bank

Advans bank

enny mchuz

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
33
Reaction score
1
Jaman ulifanya oral jumatano na alhamis kuna mtu kapigiwa simu ya training,kwa anajua tafadhali.
 
watu washapigiwa kama ulifanya oral walisema 'tutawapigia simu kati ya ijumaa na jmosi kwa wale waliofanikiwa hivyo kama hujapigiwa jipange tu maumivu'never give up
 
Back
Top Bottom