Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Chemistry aiseee. Chemistry ilikua na unafuu sana kwangu. Sijui kwanini Final sikupata A

Sent using Jamii Forums mobile app
Chemia ilikua inanikimbiza coz niliidharau kwamba ntaipiga kma nilivoipiga ya olevel

Ila nashukuru ndo ikawa mkomboz wangu kupandish division. ila physics dah,uyu mnyama sitamsahau japo nilimfaulu kwa kupata C ila sielew mpak kesho nilitoa wapi iyo C

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulibahatika. Kama mimi hesabu sikupata F basi na wewe ulipata C kwa haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah we jamaa utanivunja mbavu

Unawaza umemkosea nn mungu wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…