Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Chemistry aiseee. Chemistry ilikua na unafuu sana kwangu. Sijui kwanini Final sikupata A

Sent using Jamii Forums mobile app
Chemia ilikua inanikimbiza coz niliidharau kwamba ntaipiga kma nilivoipiga ya olevel

Ila nashukuru ndo ikawa mkomboz wangu kupandish division. ila physics dah,uyu mnyama sitamsahau japo nilimfaulu kwa kupata C ila sielew mpak kesho nilitoa wapi iyo C

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chemia ilikua inanikimbiza coz niliidharau kwamba ntaipiga kma nilivoipiga ya olevel

Ila nashukuru ndo ikawa mkomboz wangu kupandish division. ila physics dah,uyu mnyama sitamsahau japo nilimfaulu kwa kupata C ila sielew mpak kesho nilitoa wapi iyo C

Sent using Jamii Forums mobile app
ulibahatika. Kama mimi hesabu sikupata F basi na wewe ulipata C kwa haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu maswali ya physics huwaga yanaanza kama hadithi fulani hivi,yaani msenge mtungaji anakuvuta weeeeee anakuvuta weeeeee unakuujaaaa unakuja aaaaunaingia kwenye line zake then hapo hapo anakutupia jiwe paaaaaahhh la uso...yaani utakuta anaaza...

two stones thrown simutlaneously at a velocity of 20m/s at an angle of 60• to the horizontal,a man with a gun stand at 26m from the point of throwing,if the man has a mass of 80kg,calculate mass of the sun approximate to 6 decimal places..

ku**make hapa lazima ujambe,unaanza kujiuliza asa hapa ni topic gani,mtunzi kachanganga

projectile
calculating device
linear motion
planetary motion/gravity
error and dimension

unabaki tu kukumbuka maisha yako,marafiki zako,ndugu na jamaa,unakumbuka ulivokuwa unafaulu shule yako ya kata...unajikaza kiume mzee,unaandika data collection,unazugazuga pale na viformula basi unapoteza muda....unakusanya zako karatasi basi,unawaza hivi nimemkosea nini mungu mimi....kinyooonge unatoka class,sema ukikutana na wauni mnacheeeeeeeeekaaaaaaaaa basi unasahau na maisha ya shule yanaendelea.

nitarudi shule zote ila siyo advance ya tanzania *****....
Dah we jamaa utanivunja mbavu

Unawaza umemkosea nn mungu wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom