PreGE2025 Adv. Mwabukusi: Sitagombea ubunge jimbo lolote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,880
Reaction score
828,435
Nimeulizwa na wengi iwapo nitagombea Ubunge au nafasi yeyote ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 na haya ndiyo majawabu yangu.

1.Kipaumbele changu cha kwanza kwasasa ni kupigania utawala wa sheria ,haki za binadamu na ulinzi wa Raslimali za Asili za Tanganyika.

2.Kipaumbele changu cha pili nikutaka na kuhakikisha uwajibikaji kwa kuhakikisha wale wote waliopotezwa wanarejeshwa na walio umizwa wafidiwe na Serikali iwawajibishe wahusika wote.Hatutakiwi kunyamaza au kunyamazishwa.Tutatumia vyombo vya ndani na nje kuhakikisha haki kwa ndugu zetu.

3.Nitapambana kujenga Uzalendo wa kweli wa Taifa.Uzalendo ni kupinga uzembe katika utumishi wa umma, dhuluma ,wizi,ukatili,utekaji na uonevu.

4.Nataka kukamilisha mchakato wa kusikilizwa kwa rufaa yetu dhidi ya DPW kuhusu mkataba wa Bandari kwani hatutakubali raslimali muhimu za Tanganyika kuwa katika mikono ya wageni kwa mkataba wa namna hii. Ni laana.

5.Nitakuwa na jukumu kubwa la kuishawishi na kuitaka serikali kuweka wazi mikataba yote inayohusu Raslimali Asili za Tanganyika ili watanganyika tuione ,tuijadili na kuridhia iwapo imekidhi vigezo na kuzingatia maslahi ya Tanganyika.

6.Kufanyia kazi na kushiriki na wananchi wazawa wa maeneo ya pembezoni kuhusu haki yao ya kumiliki ardhi na ulinzi wahaki hiyo dhidi ya wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.

Hivyo kwa kuzingatia vipaumbele hivi na zaidi kwamba vinaweza kufanyika vyema nisipokuwa mbunge na kwa maslahi ya Tanganyika ninashawishika kutogombea nafasi yeyote ya kisiasa katika uchaguzi mkuu wa 2025

Nitaendelea kutumikia nafasi hii ya kujitolea ya Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika ( TLS) .

BAK Mwabukusi.
FB_IMG_1748180833866.jpg
 
View attachment 3345348
Ngojea tusubiri comments za machawa...hawakosagi cha kusema
 
Hahaha hata angetaka kugombea angegombea kwa chama gani sasa?

NCCR Selasini aliishamfukuza au kumkana kwamba yeye siyo mwanachama wao, na chadema haishiriki uchaguzi, kwasababu hawaku sign kanuni za masharti ya uchaguzi.

Hakuwa na haja ya kueleza hili tayari tunalifahamu.
 
Mwanzo mzuri,..hatua muafaka.
Hakutakiwi kupoe,..kukipoa wanapata sababu ya kuteka mwingine kama mwewe na kifaranga
 
Mwabukusi alishinda ule Ubunge ambao walimpa mtu ambae hakuna chochote alichofanya huko huyu ni Mzalendo wa kweli Tanzania kuliko hata mboga mboga wengi..
 
Selasini yeye hicho chama kapewa na Ccm na msajili pasipokufata taratibu za kisheria na wakampora madaraka Mama Tanzania (Mbatia)

Hahaha hata angetaka kugombea angegombea kwa chama gani sasa?

NCCR Selasini aliishamfukuza au kumkana kwamba yeye siyo mwanachama wao, na chadema haishiriki uchaguzi, kwasababu hawaku sign kanuni za masharti ya uchaguzi.

Hakuwa na haja ya kueleza hili tayari tunafahamu.
 
Back
Top Bottom